Blogger Widgets

September 14, 2013

Tazama Matukio Yote ya Birthday ya Pozi Kwa Pozi Ommy Dimpoz.Mcheck Mwana FA, Fid Q, Shaa na Mpenzi wake Master J

Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Ommy Dimpoz na birthday party ilifanyika pande za Elements Club. 
Wasanii mbalimbali kama Mwana FA, Fid Q, Shaa na Mpenzi wake Master J waliweza kuudhuria na kuumpa company mzee wa Poz kwa Poz siku ya jana.