Blogger Widgets

September 22, 2013

Tazama Picha ya Jamaa aliyejisaidia Mahakamani na Kufungwa Miaka 2

Mtuhumiwa aliyekojoa mahakama ya Mwanzo ya Mazimbu Morogoro Manfred Adam muda mfupi baada ya kesi yake namba 322 ya mwaka 2013 kuahirishwa  amehukumi kwenda jela miaka 2 kwa kosa hilo la kumwaga kojo mahakamani.
                                   Mbali na kumwaga kujisaidia pia mtuhumiwa huyo alifanya fujo mahakamani hapo zilizosababisha meza kadhaa za mahakama hiyo kuvunjika.


Baada ya kufanya vurugu hizo askari walimkamata na kumrudisha kizimbani ambapo alihukumia kwenda jela miaka 2 kwa kosa hilo huku kesi yake  namba 322 inayosikilizwa na hakimu Alisile Mwankejela ikiendela septemba 24.