Blogger Widgets

September 5, 2013

WAKILISHA Ilivyowakilishwa na Mwana Fa na AY


The Gladiators, Mwana FA na AY wapo nchini Kenya walikoenda kurekodi nyimbo na mambo mengine. Jana walikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye show iliyopewa jina, Wakilisha East Africa iliyofanyika kwenye kiota cha Tribeka Restaurant & Pub jijini Nairobi.FA akiwakilishaAY akiwasha motoFA akiwa Tribeka

Mtangazaji wa Citizen TV, William Tuva aliwashukuru kwa kutweet: Thanks @AyTanzania and @MwanaFA for representing Tanzania #WakilishaEastAfrica @ Tribeka | Congratulations AY for the Channel O nomination.