Blogger Widgets

October 27, 2013

Baada ya Bob Juniour na Masai Nyotabofu Kukinukisha Vya Kutosha Ndani ya Mkoa wa Tabora Sasa ni Muda wa Masai Nyotambofu na Bob Junior Tena Ndani ya Club Bilicanas

''Masai Nyotambofu'' & ''Bob Juniour''

KWA WALE MASHABIKI WANGU KATIKA KIPINDI CHA(VITUKO SHOW)NA COMEDY MOVIES, NJOONI NA MBAVU ZA ZIADA KWANI KABLA SIJAIMBA NYIMBO ZANGU NTAWAVUNJA MBAVU KAMA KAWAIDA YANGU..!Masai "Masai Nyotambofu"

NYIMBO MPYA AMBAYO INAAMINIKA KUWA NI NZURI ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZISIKIA ITAKWENDA KWA JINA LA "BASHASHA"
 
MWANADADA MKALI VANESSA MDEE NAYE NDANI KASHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO HIYO KALI UTAKAYOPATA KUISIKILIZA BAADA YA UZINDUZI WAKE.
 

 
SASA ISHU KUBWA NI UZINDUZI WA SINGLE HIYO HAPO TAREHE 27 OKTOBA 2013 JUMAPILI NDANI YA "ClubBilicanas".
 
********
 
WASANII KIBAO KUTUA HAPO NI HAWA WAFUATAO:
 
  • BOB JUNIOR NA VANESSA MDEE
  • QUEEN DARLEEN
  • SAMIR
  • CHID BENZ
  • CYRIL
  • MIRROR
  • LINEX
  • BONGE LA NYAU
 
**********
 
COMEDY : KUTANA NA MASAI NYOTAMBOFU
 
TAG: 6,000/= 
"MR CHOCOLATE AMEUTHIBITISHIA MTANDAO WAwww.aloyson.com KUWA BASHASHA ZILIZOTIWA HUMO LAZIMA ZIWE CHAKULA BORA CHA MASIKIO YAKO KWA KUSUDI LA KUBORESHA MAPENZI YATAKAYOSTAHIKI KUTIWA MABASHASHI YA AINA YAKE..." ENDELEA KUTEMBELEA MTANDAO HUU KUUPATA WIMBO HUO KUANZIA TAR 27.10.2013