Blogger Widgets

October 31, 2013

Baadhi ya Picha walizoweka Kwenye Mitandao Chris Brown na Karrueche Kuonesha Kwamba Mapenzi Moto Moto Bado Yapo


Aka kama hakuwa mahakamani na Chris Brown wakati anasomawe  mashtaka ya kupiga mtu hivi karibuni, Mpenzi wa muda mrefu wa Chris Brown, Karrueche anapenda ufahamu kuwa uvumi wa yeye na Chris Brown kuachana sio kweli na kwamba bado wapo pamoja. 


 Picha hizi alizosambaza Karrueche kwenye Instagram zinaonyesha ukaribu wake na Chris Brown Kwa sasa na jinsi mapenzi yalivyo kolea.