Blogger Widgets

October 20, 2013

Baadi ya Picha zikionesha Jinsi Diamond Platnuma alivyofunika Kwenye Show Yake ya Guangzhou ndani ya Rich Club China


Msanii wa Bongo Fleva Diamond alikuwa China kwa muda wa wiki mbili akijipanga kwa ajili ya show yake aliyofanya weekend hii. Show imefanyika Guangzhou ndani ya Rich Club na Kama kawaidia Diamond Plutinumz alifanya show nzuri na fans waliridhika.

Picha Iko Hapa
 
From:Sammisago