Blogger Widgets

October 15, 2013

Check alichoandika Diamond Platnum Kudiss TeamPenny na TeamWema, ‘wizi mtupu muniache, nitafute hela mie’

Diamond Platnumz hataki kusikia cha Team Wema wala cha Team Penny, wote anawaona wale wale tu wenye mapenzi ya uongo.,
b01d2ace33ee11e3b38c22000ab5cb1b_8
Staa huyo wa Ngololo ambaye bado yupo nchini China, ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akimpongeza ndugu yake kwa kupata mtoto.
“Kutoka Naseeb Hadi Baba Ayaan… Asante sana @dumyutamu na @jujuwavanilla kwa kutuletea, a New Star! katika familia hii ya @WCB_Wasafi … Na nyie nao Mzaage sio tu kuleta Mapenzi ya Uongo! ya Team flani mara yule Team Flani #WiziMtupu #Muniache! Ntafte ela mie,” aliandika kwenye Instagram.
aaeb71f234c311e3a38f22000a9e0675_8

Naye Wema Sepetu jana amerejea Dar akitokea Hong Kong ambako alikuwa kwenye mapumziko ya muda ndiko alikutana na Diamond kukumbushia penzi lao

No comments:

Post a Comment