Blogger Widgets

October 10, 2013

Check Alichokifanya Leo Diamond Platnum Baada ya Kukutana na Picha yake Hii Kwenye Hoteli Huko Hongkon Ambapo Yupo Leo

Baada ya kukutana na picha yake hotelini hiki ndicho alichokifanya Diamond


Diamond Platnamz ambae yuko Hongkon kwa sasa, ameamua kutia saini kwenye moja ya picha yake aliyokuta imebandikwa katika ukuta wa hoteli moja ya ki-africa, kuonyesha shukrani kwa mmiliki wa hoteli hiyo. 
Kwambaaali kama naiona picha ya Wema Sepetu, sasa sijui na yeye amesaini, lol, tutajua baadae

diamondplatnumz
Found it kwenye Moja ya African Restaurant huku... had to Singn kama moja ya Appreciation yangu...