Blogger Widgets

October 9, 2013

Check Chakula alichoandaliwa na Model Matata,Mwanadada Salome Jijini MARYLAND, MAREKANI

Mrembo Salome Frederick akiwa na mgeni wake Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' nyumbani kwake Maryland nchini Marekani wakati wa mnuso aliomwandalia.
Baadhi ya waalikwa akiwemo Promota "DMK" katika picha ya pamoja wakati wa chakula nyumbani kwa Salome Frederick jijini Maryland. Salome alimwalika Dimpoz pamoja na baadhi ya marafiki zake kwa chakula cha jioni kilichoandaliwa nyumbani kwake.
Salome akipozi na Dimpoz.
Mwanadada Quizela akipozi na Ommy.
Dimpoz akiwapa swagga watoto.
Dimpoz katika pozi na baadhi ya waalikwa wakati wa mnuso huo.
Dimpoz akipozi na model wa Salome "Nyambona".