Blogger Widgets

October 5, 2013

Check Picha ya Pamoja ya Ommy Dimpoz na Masanja Mkandamizaji walivyokutana Califonia Lakers Staples Center

Masanja akiwa na Ommy walivyo kutana California hapa wakipata ukodak mbele ya uwanja wa Lakers Staples Center. Kila mtu ameenda kwa mishe mishe zake na walivyo kutana wapoz na kupata ukodak wa kumbu kumbu.

Masanja na Dimpoz wakiwa china ya ulinzi wa police wa LADP

Ommy Dimpoz mzee wa tupogo akipata ukodak na washabiki wake kulia ni Diva wa California Miss Dianarose na kushoto ni mama mzazi wa Dianarose.