Blogger Widgets

October 4, 2013

Check Picha za Huyu Jamaa alizochora Kwa Kutumia Uuume wake ikiwemo Picha ya Obama

Anaitwa Tim Patch kutoka Australia, Anachora Picha Kwa Kutumia Uume Wake. Badala ya kutumia brash maalum za kuchora yeye anatumia Uume wake kuchora picha kali za wateja wake na hana aibu, yupo tayari kusimama uchi mbele ya wanawake na wanaume na kuwachora.