Blogger Widgets

October 13, 2013

EXCLUSIVEE:::Check Picha za Kwa Pamoja Penny wa Diamond aamua Kumpiku na Kumkomoa Wema Sepetu kwa Kutoka na Mshkaji Aliyekuwa Mpenzi wa Wema Baada ya Kuachwa Tuu na Diamond Platnum..FANYENI YENU HONGKONG YEYE ANAFANYA YAKE TANZANIA

 
Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny

 Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You Me I Do You 
                         
 
Raheem Akiwa na Wema Sepetu Enzi Hizo Baada Tuu ya Kuachwa na Diamond

 

No comments:

Post a Comment