Blogger Widgets

October 10, 2013

Feza Kessy na Oneal Mapenzi yamewanogea Mpaka Kukutwa kwenye Duka La Pete wakijindaaa Kununua Kwa Ajiri ya Kuvishana

 
ILE ndoto yao ya muda mrefu itakuwa sasa imetimia baada ya waliokuwa washiriki wa shindano la BBA'The Chase'2013,Feza Kessy kutoka Bongo na mchumba wake Oneil wa Botswana kunaswa hivi karibuni wakinunua pete ya uchumba katika duka moja la vito nchini Botswana.
Feza amerudi tena nchini humo baada ya kurejea Bongo na kukaa kwa siku kadhaa picha mbalimbali amepiga akiwa na mashabiki wao.

No comments:

Post a Comment