Blogger Widgets

October 18, 2013

Haijafahamika Kwa Nini Ray C Alijifikiria Kuandika Ujumbe Kama Huu

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amefunguka kupitia mtandao wa instragram kuwa anahitaji kuwa na boyfriend mwenye asili ya Kihindi kwa sababu wana mapenzi ya ukweli baaya ya kuangalia filamu zao.

Ray C alipost kipande cha filamu hiyo na kuandika…Daaaamn!!!!i want an indian boyfriend right

nowwww!!!So romantic!!!ths movie is crazy......on my own in my Bollywood Room…