Blogger Widgets

October 13, 2013

Hali juu ya Jacklyne Wolper Juu ya Kuugua Malaria

Msanii wa Filam Tanzania ajulikanae kwa jina la Wolper yuko hoi Hospitalini huku akiomba Dua kwa wapenzi wake wamuombee ili apone haraka. Wolper ameripot taarifa za kuumwa kwake katika akaunti yake ya facebook na kuainisha ugonjwa unaomsumbua ni Maralia na ujumbe huo umesomeka hivi: clip_image002

No comments:

Post a Comment