Blogger Widgets

October 5, 2013

Hebu Kuwa wa Kwanza Kuangalia Picha za PRE-BIRTHDAY PARTY ya Nando Mshiriki wa BBA.Sio Birthday ni Pre-Birthday....Mcheck Shetta,QUick Racka..Vanessa Mdee a.k.a V-mONEY na washiriki wenzake wa BBA Beverly and Bimp.EXCLUSIVE

 Usiku wa kuamkia leo ambapo ndio anakumbuka siku yake yakuzaliwa mshiriki wa Big Brother The Chase kutoka Tanzania AMMY NANDO alikuwa ameanza kusherehekea siku hii muhimu kwake akiwa na marafiki zake aliowaalika kwenye mjengo mmoja mkubwa hivi uliopo maeneo ya Mikocheni B. Pia Nando aliwaalika washiki wenzake wawili ambao walikuwa wote kwenye jumba hilo la Big Brother na si wengine ni BIMP
 na BEVERLY
 Mwenye njano tshirt ni Beverly,  Nando and Bimp hapa ndio walikuwa wameingia kutokea Airport

From:DJCHOKA