Blogger Widgets

October 18, 2013

Hii Balaa! Polisi wageuka waandishi na Kuanza kumpiga Rais JK picha na kusahau kumlinda.


Askari  polisi (kulia)ambao  wamepelekwa katika  uwanja  wa Nduli Iringa kwa ajili ya usalama  wa rais Jakaya  Kikwete  wakijifanya kazi ya  kupiga  picha kwa camera na simu zao za mkononi kwa  ajili ya matumizi binafsi na kuacha kazi iliyowapeleka  uwanjani hapo na kufanya kazi ya ulinzi wa Rais jambo ambalo ni hatari zaidi na kuna haja na jeshi la polisi kama chombo cha usalama wa rais wetu kulitazama hili kwani kama litaachiwa yale yaliyotokea uwanja wa samora tarehe 14 mwezi  huu wakati  wa kuzima mwenge kwa kijana  asiyefahamika  kutaka  kuuvamia mwenge mbele ya rais litajirudia katika mazingira kama haya.