Blogger Widgets

October 15, 2013

Hii Ndio Picha ya Jay Z alivyojichanganya na raia wa kawaida kwenye treni akielekea kwenye show, apiga nao story kama abiria mcheshi
Unaikumbuka ile surprise ya Mheshimiwa Mwakyembe kujichanganya kwenye treni ya abiria bila kutoa taarifa? Eeh..sasa Jay Z naye amefanya yake japo malengo yao yanatofautiana.  
Rapper mwenye utajiri mkubwa na ulinzi wa kutosha amewasuprise fans wake wa London baada ya kujichanganya nao kwenye usafiri wa treni  wakati anaelekea kwenye tamasha lake katika eneo maarufu kwa burudani na sanaa ‘O2’ lililoko kusini mashariki mwa jiji hilo.
Ripoti toka katika nchi ya Malkia Elizabeth zinasema baba Blue Ivy ambae yuko jijini London ikiwa ni kati ya ratiba ya Magna Carta World tour, jumamosi jioni alipanda treni kama abiria wa kawaida akiwa ameongozana na Producer Timberland na Chris Martin.
Kwa mujibu wa abiria waliokuwa nae kwenye treni hiyo, Jay Z hakuonesha ustaa tena bali alianza kupiga story na abiria hao kama mmoja kati ya abiria mchangamfu

Moja kati ya fans wake waliokuwa kwenye treni hiyo alitweet “Casually getting on a train with Jay Z, Chris Martin, and Timbaland.” Akaweka na picha inayoonesha Jay Z yuko kwenye Treni. Fans wengine pia waliendelea kutweet kuhusiana na tukio hilo.

Nayo akaunti inayotumia jina la ‘Always Roc Nation’ waliandika, "Jay Z, Chris Martin and Timbaland took the tube to the O2 Arena tonight!”

CITIZEN TV's LULU HASSAN husband busted doing....with AVRIL

Thursday, 3 October 2013 25 comments

On Wednesday morning, the sexy Ogopa Deejays’ singer Avril Nyambura was hosted on NTV’s AM Live and after the interview....all men who were around were tempted to touch including Citizen Tv's Lulu Hassan's husband Rashid Abdalla....hope Lulu won't get mad when she sees this....

- See more at: http://www.africanewspost.com/2013/10/citizen-tvs-lulu-hassan-husband-busted.html#sthash.lSLlf0O5.dpuf