Blogger Widgets

October 5, 2013

Hii Picha ya Madee,Diamond Platnum,Chege na B Dazen Imezua Maswali Hasa Kwa Upande wa Madee

                             Mtindo wa msanii Madee kufungua mkanda na kuacha unaning'inia kama unavyoonekana pichani imekuwa ni kama tabia inayojiendeleza siku hadi siku, kwa mara ya kwanza namuona Madee akiwa hivyo ilikuwa kwenye tamasha la Kili Tour dsm nilidhani ameshiba sana ha hivyo kuamuakuachia mkanda wazi lakini imekuwa kibyume maana kila napokutana nae naona muonekano ule ule na kuja kujiuliza kuwa ile ni fashion yake ya kipekee ama nn?
Juzi kupitia Acc ya Instagram ya Bdozen aliputia picha akiwa pamoja na Madee na nikaona tena hiyo, baada ya kupitia comment za watu mbali mbali nikakutana na Comment ya Star mwengine wa Bongo Fleva Shaa akitaka Madee amtoe ushamba kuhusu uvaaji huo. Tazama picha.