Blogger Widgets

October 7, 2013

Huddah Monroe Aingia Kwenye Skendo Nyingine Baada ya Hii Picha Yake Ikimuonesha Akiwa Uchi Kabisa.WARNING +18

Huddah ambaye ni mke mwenza wa diva wa clouds fm aendelea kuwashangaza mafans wake kwa kuachia picha za utupu bila aibu... na hata apondwe vipi huyu dada bado anaendelea ...Kibongo bongo tunamfananisha na "FLORA LYMO"  ambaye ni mwna mama mtu mzima ambaye nae anachia series za nusu utupu , Ingawa  Mafans wake na watanzania kwa ujumla wanamkea haache lakini bado yumo.

Hudda ni mkenya ambaye aliwakilisha nchi yake katika Bigbrother the chase 2013.kupitia account yake ya Instagram jana usiku aliweka picha akiwa ameinama yuko UCHI huku akitukana mafans wake (Kwa d**e la Ka*i)

Inavyo hofiwa na wanahabari wengi wa nchini kenya huyu dada Huenda yuko mbioni kuachia video chafu ...Baada ya muda mrefu sana kuwa anatoa picha za utupu..
 http://1.bp.blogspot.com/-FH_uLpHDHl4/UlKKj1Q6LVI/AAAAAAAAACQ/-z03ZzsmdGM/s1600/Capture.PNG

No comments:

Post a Comment