Blogger Widgets

October 15, 2013

Ile Video ya Diamond akiperform ile Track ya Temptations Hii Hapa:::::(Tanzania) and HHP (South Africa) on Coke Studio Africa.


The spectacular performance of the track 'Temptations' by Diamond Platnumz (Tanzania) and HHP (South Africa) on Coke Studio Africa, Season 1, Episode 2.
Kwa wale ambao walikuwa hawajawahi kupata nafasi ya kumsikia msanii Diamond Platnumz akitumbuiza kwa 'Live Band' nadhani baada ya kuangalia video hapo chini wataelewa kama msanii huyu ni mkali au la..
Check out the video below:-