Blogger Widgets

October 8, 2013

Irine Uwoya Aingia Kwnye Kafsha Nyingine Baada ya Hizi Picha Kusambaa Kwenye Mitandao Akiwa na Manaiki Sanga a.k.a The don Wakiwa kwenye Mapozi ya Ajabu


Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya aibu mastaa wa kike  wa bongo movie wanatuhumiwa kujipigisha picha na msanii aliyejipatia umaarufu mkubwa nchini na dunia nzima Manaiki Sanga “The Don” kwa lengo la kuongeza umaarufu mjini hapa.
Habari za kuaminika zilizonaswa na mtandao huu hatani kwa habari za uchunguzi za mastaa bongo zilisema kuwa wasanii hao wa kike siku za hivi karibuni wamekuwa wakionekana pamoja na Manaiki hadi kupiga picha pamoja wakiwa sehemu nyeti.
Akiongea na xdeejayz shuhuda wetu ambae alifanikiwa kuzinasa picha hizo zikiwaonesha wasanii hao nyota bongo wakiwa wamejiachia na Manaiki licha ya tabia mbaya zake lakini wao  hawakujali “ Unajua kinachonishangaza hapa ni jinsi wasanii wetu wa kike huyu kijana sasa hivi anaogopwa kama ukoma lakini wao ndio kwanza wanaendelea kujisogeza karibu nae hii imaana kumbe wao ndio wanapenda kupiga picha na Manaiki” Kilisema chanzo hicho
Aidha mastaa hao ambao wameonekana kwenye picha pamoja na Manaiki Sanga ni Irine Uwoya, Chuchu Hans, Irine Kanka, Vumi wa THT. Irine Paul na mwanamuziki wa bongo flava toka Zanzibar  aliyefahamika kwa jina la Dida.
Hata hivyo kati ya picha zilizozusha minong’ono kwenye jamii ni ile ya Uwoya na Manaiki wanaonekana wakitomasana sana kiasi cha Irine kuonekana kuzidiwa na hisia hizo.
From:Xdeejayz