Blogger Widgets

October 5, 2013

Look at Me Now: Mcheck Mtoto wa JCB alivyo Right Now

MUONEKANO WA MTOTO WA JCB-THE LEGEND FROM NORTH Huyu ndiye chalii wa nguli wa muziki wa Hip Hop na member wa crew ya Watengwa ya jijini A-Town Jacob Makalla a.k.a JCB.

JCB amekuwa akitumia muda wake mwingi kwa sasa kuwa na familia zaidi na kufanya mambo mengi kwa ajili ya kuihudumia
familia yake kikamilifu.