Blogger Widgets

October 24, 2013

Maheeda Ndio Msanii Pekee Akiyeshindikana Kwa Nigeria Kwa Kutupia Picha za Ajabu Kama Hizi Zilizowaboa wana Nigeria


Huyo ni mwanadada Maheeda kutoka nchini Nigeria, amefunguka na kusema anachoshwa na Tabia ya Mumewe huyo kuwa busy zaidi na kazi na kumsahau yeye mkewe, akaongeza ya kwamba huyo mwanaume huwa na tabia hata ya kuchagua kunywa kahawa na kumsusa binti huyo ambaye binafsi anajikubali ana mvuto.

I'm sure some of you are tired of seeing half-naked pics of street girl turned gospel singer, Maheeda. For those who aren't, feast your eyes on this newest collection.