Blogger Widgets

October 27, 2013

Makubaliano Mapya Kati ya Kim Kardishian na Kanye west Yalizuka Hivi Karibuni

Hii ni kali ya mwaka imegundulika kuwa Kanye West na Kim Kardashiam wamekubaliana kusign mkataba ambao endapo wataoana kwa ndoa hivi karibuni basi kila mtu atakuwa na mali zake kivyake ili endapo wakiachana wasigawane mali jambo ambalo huleta vita sana katika mahusiano ya ndoa endapo yatavunjika.....Katika hilo watakuwa na account moja tu ya kuendesha familia ambayo watakuwa wanachangia ...Je wewe walionaje hilo ? linafaa hapa Bongo ?