Blogger Widgets

October 15, 2013

Mcheck Mtoto Mrembo Kabisa Ambaye Anamfanya Nick Wa Pili Kuandikia Mashairi ya Mapenzi,Hapo Kati,Nje ya Kumi na Nane

 
 KUTOKANA NA MSANII WA HIP-HOP TOKA ARUSHA KUWEKA PICHA YA HUYU MREMBO MARA KWA MARA KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK ,WATU MBALIMBALI WAMETOA MAONI YAO NA KUSEMA HUENDA AKAWA NI MCHUMBA
WAKE ,JAPO KUWA HUWA HAANDIKI CHOCHOTE KUHUSIANA NA HIZI PICHA.