Blogger Widgets

October 28, 2013

Mcheck Wastara Juma Sajuki alivyokula Bata Ndani ya club Maisha

Juzi kati Wastara Juma Sajuki aliamua kujifurahisha kwa kwenda club Maisha akiwa na marafiki zake akiwemo Salma Jabu Nisha ambaye siku hizi wapo karibu sana na pia walikuwa na kaka wa tumbo moja na Wastara kama baadhi ya picha zinavyoonekana hapo chini..........