Blogger Widgets

October 28, 2013

Msanii wa Kike wa Bongomovie Nisha Aonesha Jinsi Gani Anavyomkubali Anamkubali King Majuto Mpaka Kumuiga Pozi

Actress Salma Jabu Nisha anaonekana kumkubali sana King Majuto kikazi kiasi cha kuiga mpaka mapozi yake kama anavyoonekana pichani chini. Mastaa hao wameigiza pamoja filamu za Pusi Na Paku na Tikisa.
Unadhani Nisha anapoigiza na King Majuto wanapendeza sana au?