Blogger Widgets

October 24, 2013

Mtoto wa Nyoka Ni Nyoka Tazama "Swaga" za mtoto wa Wizkid.Kama Vile Mtu Mzima Kumbe Ana Miaka Miwili Tuu


Dogo wa kiume huyo na ndo kwanza ana miaka 2 lakini ukimcheki unamwona ni matawi mengine kama alivyo baba yake. Picha hizo zimewekwa na mama yake Shola Ogudugu katika akaunt yake ya Instagram.