Blogger Widgets

October 18, 2013

Muonekano wa Bango la Picha ya Yesu akiwa kachorwa Tattoo Huko Marekani na Kusababisha watuhumwa Kukamatwa na Kufikishwa Mahakamani

 
Licha ya kwamba Hata watu ambao wameweka bango hilo kujitetea na kudai kwamba wamechora na kuliweka kwa nia nzuri ili kuwahubiri watu waende kwake na kusafishwa dhambi zao lakini mashirika ya kikristone nchini humo wameapa kuchukua hatua za kisheria kwa wahusika wote waliidhalilisha picha hiyo ya Yesu.Bango hilo limeandikwa address ya tovuti ambayo ina video inayoonesha watu wanaenda kwa Yesu na wanasafishwa dhambi zao