Blogger Widgets

October 10, 2013

Nakaya Sumari Baada ya Kujifungua Mtoto wa Kiume!! She Said This

 
MWANAMUZIKI nguli wa Bongo Fleva Nakaaya Sumari amejifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la Kai,kupitia kwenye account yake ya Instragaram amepost picha ya mwanaye kuanzia kwenye miguu bila kumfichua sura yake.

 
Pia aliandika hivi... On the 5th of Oct. God blessed me with a son. I named him Kai Samuel. For he is King. I too get to be called a mother. Its the best feeling in the world... a love i cant explain. May our father in heaven sheild you my son. And may you serve him all of your days. In Jesus name...