Blogger Widgets

October 7, 2013

Picha Ikionesha Jinsi Ommy Dimpoz alivyokutana na 2 Face Idibia na Kuanza Kupiga nae Story.Hii no POZ KWA POZ TOUR

Kwenye Tour yake ya Poz Kwa Poz nchini Marekani Msanii Ommy Dimpoz mkali kutoka Tanzania amekutana na Msanii 2 Face Idibia kutoka Nigeria alivyokuwa kwenye show yake huko Los Angeles. 2 Face ameshuhudia show ya Ommy Dimpoz na baadae wakapiga picha wakiwa pamoja Back Stage.

Ommy I Hope Umezungumza Nae Kuhusu Collabo....