Blogger Widgets

October 20, 2013

Picha Nyingi Zaidi Zikionesha Jinsi Nick Minaj Alivyotisha na Pink lamborghini.Gari Yake Mpya

 
Nicki Minaj ni msanii asiye na aibu ya kusema mambo gani anapenda kwenye maisha yake na yupo tayari kufanya nini kuyapata. Hivi karibuni alikuwa kwenye duka la K Mart akizindua nguo zake na aliwasili na gari yake mpya iliyo tengenezwa  na kuboreshwa kwa matakwa yake, Yes ndio hio Pink lamborghini Custom made for Minaj. 
Picha Zaidi Ziko Hapa.