Blogger Widgets

October 5, 2013

Picha za Ajari Mbaya Iliyotokea Kitonga:Ni Ajari Mbaya na Picha zake ni za Kutsha kama Ni Muoga

Ajali mbaya  nyingine  imetokea  usiku  huu katika mlima kwa Kitonga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa katika barabara  kuu ya Dar es Salaam -Iringa . 
 
Katika  ajali  hiyo  watu  wawili wamekufa papo hapo huku  wa wawili  wakijeruhiwa  vibaya baada ya malori mawili kugongana uso kwa uso .
 

Ajali  hiyo imetokea  mida ya saa 12.50 jioni ya  leo  ikiwa ni dakika takribani 30  baada ya ajali ya basi la JM kupinduka eneo  la Mazome wilaya ya Kilolo. 


waliopoteza maisha katika ajali  hiyo ambayo chanzo ni dereva  wa lori la IT lililokuwa  likisafirishwa kwenda nchi  za  kusini mwa Tanzania aliyekuwa akitaka  kulipita gari la mbele mlimani na katika kona kali . 

Hata  hivyo  dereva  wa  lori  hilo IT aliyetambuliwa kwa jina la Gody amevunjika mguu  wake ambao umetoka katika na  dereva  na utingo la fuso wamekupa papo hapo  huku mwanamke  aliyekuwa katika lori IT akisalimika .