Blogger Widgets

October 28, 2013

Picha za Karibu Jinsi Gari la Madam Rita Lilivyoungua na Moto


Mkurugenzi na judge wa bongo star search Rita Poulsen amepata hasara kubwa baada ya gari lake aina ya mercedes benz kuteketea kwa moto.

Madam Rita hakupatikana kuelezea chanzo kilichopelekea gari lake kuteketea kwa moto.

https://scontent-b.xx.fbcdn.net/hphotos-prn1/q71/66793_218914644950489_1141283958_n.jpg