Blogger Widgets

October 5, 2013

Picha zaikonesha Jinsi Uaandaaji wa Video ya NIMEVURUGWA ya SNURA.Dude in The Building

 Leo mchana msanii mwenye Majanga yake na kisha Akavurugwa anaitwa SNURA alikuwa akishoot video yake mpya inayoitwa NIMEVURUGWA maeneo ya Kigamboni sehemu moja inatwa Kijiji Beach. Video hii ilikuwa ikisimamiwa na Dir Meja

Mtu mzima Dude aka Yahaya nae alikuwepo kwenye video ya Snura Nimevurugwa sijui kwenye video atakuwa amefanya nini ndani