Msanii huyo yupo nchini China kwa ajili ya shoo yake atakayoifanya Dalian nchini humo ikiwa inajulikana kwa jina la 'Believe Tour'
Lakini hata hivyo wapambe wake hao hawakumuinua kufikia hatua ya mwisho ila ni kwa umbali fulani tu na hata hivyo walimshusha na kuendelea na ratiba nyingine za utalii.
Justine akiwa nchini China amekuwa kivuto kwa watu wengi ambao wamekuwa wakiongozana naye kila mahala ambapo amekuwa akienda.