Blogger Widgets

October 26, 2013

Sijajua Kama Anachokifanya Hapa Ommy Dimpozi Kinamjenga Mwanafunzi Au Laa!!

DSC_0706DSC_0707DSC_0712DSC_0713DSC_0714DSC_0705
Msanii anayetamba na kibao cha Tupogo alichomshirikisha J.Martins wa Nigeria, leo hii ametoa mchango ameungana na Flaviana Matata Foundation (FMF) kutoa msaada katika shule ya Msingi Minazini iliyopo Mwananyamala wilaya ya Kinondoni Dar-Es-Salaam, Msanii huyo alitoa kiasi cha shilingi Elfu Kumi karibia kwa kila Mwanafunzi katika shule hio, Tazama Picha za msanii huyo akitoa msaada wa hela kwa wanafunzi hao hapa …