Blogger Widgets

October 15, 2013

Soma na Ufurahi Kwa Tweet za Masta wakimuandikia Hayati Mwl.Nyerere Ujumbe Kwa Kuanza na #Dear Nyerere

Anna Peter Nyerere 1
October 14 ni siku ambayo itabaki kuwa kumbukumbu kwa Watanzania, ni siku inayomuhusu hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo Watanzania jana October 14 2013 waliamua kuifanya siku ya kipekee kwa kumuenzi na kuandika mambo mbalimbali kwenye twitter kwa kuanza na Dear Nyerere.
18

Hili ni gari ambalo lilikuwa likitumiwa na baba wa Taifa kwaajili ya shughuli za Jumuiya ya Africa ya Mashariki. (annapita.com)
Hili ni gari ambalo lilikuwa likitumiwa na baba wa Taifa kwaajili ya shughuli za Jumuiya ya Africa ya Mashariki. (annapita.com)
Hili ni gari lilitumika na baba wa Taifa kwa shughuli za Serikali
Hili ni gari lilitumika na baba wa Taifa kwa shughuli za Serikali
Anna Peter 5
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
141615
17