Blogger Widgets

October 10, 2013

Status Ya Kustaajabisha Kutoka kwa Shy-Rose Bhanji

Shy-Rose Bhanji amefunguka kuwa leo amesonga ugali kwa mara ya kwanza kwa kipindi chote hicho cha maisha yake, Watu wengi wamevutiwa na Status yake hiyo na wengine kubaki na maswali iweje asijue ama kwa kipindi chote hicho hakuwahi kusonga ugali? Lakini jibu ni simple tu inategemea na familia ambayo mtu anatokea ama mazingira aliyokulia, wengine wametumia muda mwingi nje ya nchi kusoma na kufanya kazi na huko wamekutana na vyakula vya kigeni, na tangu utoto mwao hawajapata nafasi ya kupika chakula hiko ukizingatia nyumbani kuna mpishi. Kila mtu ana sababu yake lakini hatujui ya Shy ni ipi.