Blogger Widgets

October 5, 2013

Story Zilizozaga na Kusababisha Mtangazaji Huyu wa Channel Ten Kuzungumzia Juu ya Stutuma za Yeye Kuambukizwa Ugonjwa wa Ukimwi na LULU


IMEVUJA! Msanii wa filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ alimlazimisha mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Suleiman apime virusi vya Ukimwi kipindi walipokuwa wapenzi.
Akichonga na paparazi wetu, Bond alisema baada ya kulazishwa kwa muda mrefu na Aunty Lulu, kwa mara ya kwanza alijikuta amepima Ukimwi na bahati nzuri walikutwa wako salama.
“Kipindi nikiwa na uhusiano wa kimapenzi na Aunty, alinilazimisha mpaka tukaenda kupima Ukimwi tukajikuta tupo salama ndiyo tukaendelea na mapenzi yetu na tulikuwa na tabia ya kupima mara kwa mara lakini nawashangaa wanaosema nimeambukizwa ngoma,” alisema Bond.