Blogger Widgets

October 9, 2013

SURPRISEEEE!!!!!!! Wema Sepetu na Diamond Platnum Wamerudiana Rasmi,Check Hizi Hapa Picha Zao walivyokutana Huko Malaysia.Ni Mwendo wa Kiss Hug....

Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.

BREAKING NEWS…!!! DIAMOND NA WEMA PAMOJA
           

Baadhi ya picha hizo, moja inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…