Blogger Widgets

October 10, 2013

Tarifa ya BOTI kuungua Kwa Moto Ndani ya Bahari ya Hindi

http://2.bp.blogspot.com/_w3eynvAhT88/S50jn7ozwJI/AAAAAAAACWM/baO6fVEBCw0/s400/meli 
Boti moja iliyobeba mizingo kuelekea Zanzibar inawaka moto hivi sasa katika bahari ya hindi nje kidogo ya bandari habari kutoka Brekig news ya Radio one leo asbuhi boti hiyo ni ile inayobeba mizigo ya wafanyabiashara jeshi la polisi pamoja na vifaa kadhaa vimelekea katika tukio ili kuwahi kuzima moto tutawaletea zaidi