Blogger Widgets

October 27, 2013

Tazama Baadhi ya Matukio ya Kwenye Birthday ya Kim Kardashian::Huku Kanye akiwa Pembani...Sin City

 
Kardashian akiwa katika pozi tofauti na gauni lenye mvuto wa kike. Picha hizi alizitupia katika akaunti yake ya Instagram.

Kim Kardashian akipozi na mpenzi wake Kanye West.
 

Kim looked stunning in her choice of outfit as she celebrated her 33rd birthday at TAO Nightclub
Kim and Kanye arrived together, with Kanye dressed in an eye-catching red blazer for the occasion
Wow!!!
Those boobs Kimmmmmmmm
Kim's birthday cake was amazing
Kanye looks down at Kim in adoration on her birthday
Kim poses with her sisters Khloe and Kourtney as they arrive on the red carpet at TAO
Kim's mum was also present to celebrate her daughter's birthday 
During the night, Kanye, who had just performed at the MGM Grand Hotel & Casino, was also seen taking a nap while standing up 
And of course without forgetting the gorgeous engagement ring was on display

STAA Kim Kardashian alikuwa na kila sababu ya kusherehekea usiku wa kuamkia jana wakati wa kuadhimisha mwaka wa 33 wa kuzaliwa kwake huko Las Vegas, Marekani.  Shamrashamra hizo zilikuwa ni pamoja na kuchumbiwa rasmi na mwanamuziki Kanye West wiki iliyopita, na furaha ya kupata mwanaye aitwaye Nori mwezi Juni mwaka huu.
Kardashian aliiweka picha hii katika akaunti yake ya Instagram baada ya kufika Sin City