Blogger Widgets

October 27, 2013

Tazama Jinsi Wasanii wa Njee walivyofunika kwenye Show ya Fiesta Jana Usiku akiwepo J.martin

 
Mwanamuziki Iyanya Onoyom Mbuk kutoka nchini Nigeria akifanya vitu vyake katika Tamasha la Fiesta 2013.

 
Mwanamuziki Alaine Laughton kutoka Jamaica akiwaburudisha maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Fiesta 2013 usiku wa kuamkia leo.
 
Mnigeria J Martins akisema na mashabiki wake waliofurika katika Tamasha la Fiesta 2013 ndani ya Viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo.
 
 Iyanya akizidi kulishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
 
 Mwanamama Alaine akiwapa hi mashabiki.
J Martins akizidi kuzikonga nyoyo za mashabiki wa Fiesta 2013.