Blogger Widgets

October 28, 2013

Tazama Picha 50 za Matukio Yote yaliyojiri Kwenye Serengeti Fiesta Jana

Usiku wa jana shangwe za mara ya pili zilitawala katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam ambapo show kubwa ya Serengeti Fiesta iliendelea kwa mara pili baada ya hapo juzi kutokea hitilafu ya umeme na kusababisha show ishindwe kuendelea.
J.Martin akiimba katika fiesta Dar es salaam.
Hapo jana tena show ya Fiesta ilianza kwa kuwapandisha Serengeti Super Nyota 2013 ambapo walionyesha uwezo wao kwa mashabiki na baada ya hapo shangwe ziliendela kutoka wa wasanii wengine.
J.Martins akiimba katika Fiesta Dar es salaam. J.Martin akiwa na stedi show wake.
Kala Jeremah akifanya show fiesta Dar.J.MartinS akiwa na stedi show wake.
Kala Jeremiah akifanya show fiesta Dar. Madee akifanya yake fiesta Dar.
Msanii Diamond,Nay wa Mitego na Ben Pol  wakisalimiana.Madee akifanya yake fiesta Dar
Msanii Diamond,Nay wa Mitego na Ben Pol wakisalimiana. Msanii wa asili nchini Mrisho Mpoto akiwa amesimama na marafiki zake wa kenya.
Msanii wa asili nchini, Mrisho Mpoto akiwa amesimama na marafiki zake wa Kenya. Mshabiki namba moja wa Fid Q alionyesha kitambaa chenye ujumbe kwake.
Mwana FA
Mashabiki namba moja wa Fid Q wakionyesha kitambaa chenye ujumbe kwake
MwanaFA
Nay akimchana Diamond mtoto mchele mchele.
Nay akimchana Diamond mtoto mchele mchele Noma sana.

Noma sanaa.Noma sanaa.
Temba akifanya yake.
TID akifanya yake katika stage ya fiesta Dar.Temba akifanya yake.
TID akifanya yake katika stage ya fiesta Dar. Afande Sele ndani ya fiesta Dar.

Amini,TID,na washindi wa serengeti super nyota 2013 waliitwa na J.Martin AY akifanya yake.Chege akiimba serengeti firesta Dar.
Chid Benz akiwa katika show ya fiesta Dar.Chege akiimba serengeti firesta Dar.
Chid Benz akiwa katika show ya fiesta Dar. Davido akifanya yake Dar es salaam fiesta.
Davido akifanya yake Dar es salaam fiesta   Diamond na Davido wakifanya show fiesta Dar ,noma sana.
Diamond na Nay wakiteta jambo.Diamond na Davido wakifanya show
IMG_0139Diamond na Nay wakiteta jambo
IMG_0140
IMG_0141
IMG_0159
IMG_0160

IMG_0167
IMG_0170
IMG_0172
IMG_0173
IMG_0180
IMG_0190
IMG_0197
IMG_0198
IMG_0212
IMG_0228
IMG_0235
IMG_0239
IMG_0282
IMG_0297
IMG_0325
IMG_0350
IMG_0363
IMG_0370
IMG_0375
IMG_0387
IMG_0401
IMG_0403
IMG_0429
IMG_0440
IMG_0456
IMG_0469
Ben Pol akifanya yake fiesta Dar.
Diamond fiesta Dar ,Noma sana. 
From:Bongo5