Blogger Widgets

October 22, 2013

Tazama Picha 7 za Rihanna zilizosababisha atimuliwe msikiti wa 'Sheikh Zayed Grand' huko Falme za Kiarabu

 
Msanii mahiri Duniani wa miondoko ya pop Rihanna, juzi alitoa kali pale alipopiga picha akiwa kwenye mapozi yaliyosemekana kutoendana na sheria za msikiti wa Sheikh Zayed Grand Mosque na uislam kwa ujumla. Hali hii ilipelekea 'star' huyo kuombwa kuondoka eneo hilo. Msikiti huo uliopo mji wa Abu Dhabi huko Falme za Kiarabu ni maarufu huwa ni kivutio kwa wageni wengi katika mji huo.