Blogger Widgets

October 18, 2013

Tazama Picha 7 Zikonesha Jinsi AL-SHABAAB na Watu Wao Wakishangilia Siku ya Sikuu ya Idd na Kujipongeza Kwenye Shambulio la WESTGATE liliotokea KenyaAL-shabaab wameonyesha picha ambazo zimetafsiriwa kama sherehe ya ushindi kuhusu yaliyotokea Kenya hivi karibuni…Hii ilitokea siku ya jumanne katika sikukuu ya Eid-al-adha ambayo ilifanyika mjini burawa huko nchini Somalia…Tazama picha zaidi hapa...