Blogger Widgets

October 27, 2013

Tazama Picha Mbalimbali za Behind the scene ya Movie Mpya ya Wastara Juma Sajuki, Yusuph Mlela, Salma Jabu(Nisha) na wasanii wengine wakali Story imeandikwa na Wastara.

Shaymaa(alama) ni filamu mpya ambayo inatarajiwa kutikisa soko la filamu ndani na nje ya Tanzania muda si mrefu. Filamu hii imewakutanisha mastaa kama Wastara Juma Sajuki, Yusuph Mlela, Salma Jabu(Nisha) na wasanii wengine wakali. Story imeandikwa na Wastara, script ya filamu  imeandikwa na kuongozwa na Leah Mwendamseke(Lamata). Usikose nakala yako halisi ya filamu hii itakapoingia sokoni muda si mrefu. Angalia behind the scenes ya filamu hii hapo chini.....................