Blogger Widgets

October 10, 2013

Tazama Sasa Jinsi Naibu waziri Mh. January Makamba Alivyojiachia na Skylight Band.NI FULL KUJIACHIA NA TOTOZ

                             IMG_9231
Kikosi kazi cha Skylight Band kikitoa burudani Juma lililopita kwa mashabiki wa Skylight Band akiwemo Mh. January Makamba aliyetembelea kiota cha Thai Village ku-refresh mind na burudani ya Band hiyo.Pichani kutoka kushoto ni
Mary Luco, Joniko Flower, Digna pamoja na Sony Masamba.
IMG_9245
Hebu cheki watasha walivyopagawa na burudani ya Skylight Band mpaka wakaamua kuchukua picha za kumbukumbu....Hapana Chezea Skylight Band.
IMG_9258
Aneth Kushaba AK47 akionyesha machojo yake kwa mashabiki.
IMG_9235
Mashabiki wa Skylight Band wakiserebuka taratibu kwa kujinafasi.
IMG_9241
Mary Lucos sambamba na Digna wakifanya yao jukwaani Ijumaa iliyopita Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_9266
Uzao wa BSS Mary Lucos akipagawisha mashabiki wa Skylight Band.
IMG_9256
Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani.
IMG_9253
Mashabiki wa Skylight Band wakionekana kupagawishwa na burudani waimbaji wa Skylight Band.
IMG_9277
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukisakata rhumba ndani ya kiota cha Thai Village.
IMG_9278
Utamu wa burudani ya Skylight Band unapowachizisha mashabiki.
IMG_9290
Yachuma nataka mukanda ya Yachuma......Umati uliofurika Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village ukisebeneka na Style mpya ya Skylight Band.
IMG_9296
Mashabiki walipata fursa ya kuonyesha ufundi wao katika kucheza style mpya ya Band hiyo "Yachuma chuma"
IMG_9330
IMG_9301
Kina dada nao walicheza ile Tiki tiki titi titti..... na mwishowe walijishindia Complimentary za kuingia bure popote pale Skylight Band inapopiga.
IMG_9313
Hapo sasa....
IMG_9309
Watu weweeeeeeeeee....ni balaaa njoo Ijumaa hii ujioneee uhondo wa Skylight Band.
IMG_9336
Zoezi likaendelea na watu kujishindia Complimentary zao.
IMG_9346
IMG_9304
IMG_9361
Blogger King Kif akishow love na Mh. January Makamba kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_9388
Baadhi ya vijana wakipata picha ya kumbukumbu na Role Model wao Mh.January Makamba ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
IMG_9381
William Malecela a.k.a LEMUTUZ naye alipata Ukodak na Mh. January Makamba.
IMG_9378
Mh. January Makamba aliyeambatana na mdogo wake Thuwein Makamba wakipata picha ya kumbukumbu na wadau pamoja na marafiki.
IMG_9389
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiwa na mashabiki wake wakipata Ukodak na Mh. January Makamba. Mh. Makamba alimpa pongezi za dhati Meneja wa bendi hiyo kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kutoa burudani ya muziki wa Live Band ambao unagusa rika zote na kuwataka wazidi kukaza buti zaidi kufikia anga za kimataifa.
IMG_9371
Msanii Barnaba akipata Ukodak na Mdau Faraja wa The East African (mwenye T-shirt ya Blue) akiwa na marafiki zake.
IMG_9242
King Kif na wadau wakipata moja moto moja baridi taratibu huku wakisikiliza mziki mzuri wa Skylight Band.